Get Paid for Sharing ideas


Find insight articles uncensored, from experts and
everyone else.


Start Sharing

Biashara ya Carbon credit ni nini?

Biashara ya carbon credit ni mfumo ambao kampuni na mashirika yanaweza kununua na kuuza haki za kunyonya kaboni dioksidi (CO2). CO2 ni gesi chafu ambayo inachangia mabadiliko ya tabianchi.

FEDHEHA MAKUBALIANO BARRICK NA SERIKALI

Julai 2019 Barrick Gold corporation ilinunua kampuni ya ACACIA Mining Plc kwa $428M. Hii ni baada ya mjadala wa muda mrefu kati ya BARRICK na ACACIA takribani miezi 5 ya mazungumzo BARRICK na ACACIA wakakubaliana thamani ya kampuni ya ACACIA ni $951M.

Beginners Tuanze kujifunza chatGPT

chatGPT ni Nini? chatGPT ni chatbot lililoanzishwa na kampuni ya OpenAI OpenAI ni Nini? Ni kampuni ya AI (Artificial intelligence) iliyoanzishwa mwaka 2015 na Elon Musk na Sam Altman

Je, unazijua faida za mlo wa oatmeal?

Oatmeal ni chakula maarufu sana cha kifungua kinywa ambacho kina oats na kioevu, kama vile maji, maziwa ya ng'ombe, au maziwa ya mimea. Imejaa virutubisho na nyuzi, shayiri ni mojawapo ya vyakula vya nafaka nzima ambavyo mtu anaweza kutumia.

Umuhimu wa kuandaa bajeti ya kutoa kitabu

Unaujua umuhimu wa kuandaa bajeti kwanza unapokuwa kwenye mchakato wa kutoa kitabu chako? Fikiria una rafiki yako ambaye amekuja kwako kuomba ushauri wa kuifanya bajeti yake ya kutoa kitabu itoshe, Je ungemshauri nini?.

Penzi Lililosababisha Mauti

Hii ni simulizi ya maisha iliyowahi kutokea, nimeamua kukusimulia kile nilichokishuhudia katika safari ya maisha ya mhusika huyu ambaye kiukweli kifo chake kimewaumiza wengi mno.

Mkono Wa Jasusi ( i )

“KAMANDA AMATA,” sauti iliita kutoka nyuma yake. Akageuka na kumwona Madam S akiwa na faili moja mkononi. Alikuwa amesimama katika sehemu ya mbele ya nyumba kubwa huko Gezaulole, mkono wake ukiwa na bandeji kubwa. Akageuka na kumtazama Madam S. Endele

Jinsi ya Kuanza Kula Kiafya Kwa Wanaoanza!

Jambo moja ambalo watu wengi huhangaika nalo wanapofikiria kuhusu kufuata mazoea ya kula kiafya ni wapi pa kuanzia. Amin kuwa nakuelewa! Unaweza kuhisi kuwa ngumu kuanza kula kiafya ndiyo maana nimekuandalia vidokezo hivi vya kula kiafya. Tamaa, faraja...

THE ESCROW MISSION

JIJI LA DAR ES SALAAM liligubikwa na moshi mzito wa mabomu ya machozi yaliyokuwa yakirushwa na vijana wakakamavu wa fanya fujo uone ‘FFU’. Vijana wenye uchungu na hasira, macho yao yaliyojaa machozi na makamasi membamba yakiwa yanatiririka katika pua

Faida mahususi nane (8) za kiafya za Tende

Tende ni tamu na ladha tamu. Pia zina virutubisho vingi muhimu na zina faida na matumizi mbalimbali. Nakala hii itajadili faida 8 za kiafya za kula tende na jinsi ya kuzijumuisha kwenye lishe yako.

Kwanini ule karanga zaidi kadri umri unavyoenda?

Karanga zipo za aina nyingi sana duniani. Hapa kwetu Tanzania kuna aina kadhaa za jamii ya karanga zinazopatikana kwa wingi na urahisi, Karanga, Korosho, na Almondi. Lakini watu wengi hawatumii mazao haya katika maisha ya kawaida ya kila siku.

Jinsi ya kujenga Brand ya kifahari kwa bajeti ndogo

Kuna mambo mbalimbali ya kuzingatia ikiwa unataka kujenga chapa ya kifahari kwenye bajeti ndogo. Makala hii itaangalia kwa kina kila kitu unachohitaji kujua kabla ya kuanza kujenga biashara yako ya kifahari. Itatoa vidokezo vya mafanikio unahitaji kuanza

Mauwaji ya Thomas Joseph Mboya.

Ilikuwa Jumamosi alasiri tulivu jijini Nairobi, na Tom Mboya, aliyekuwa Waziri wa Mipango ya Kiuchumi na Maendeleo wakati huo, alikuwa akifanya ununuzi kidogo katikati mwa jiji, eneo ambalo sasa linajulikana kama mtaa wa Tom Mboya.

Top